Jifunze maarifa mbalimbali ya kiroho na kimwili,tambua ulimwengu wa kiroho hasi na chanya,elimu zilizofichwa,zijue dawa na nguvu za asili za miujiza na utendaji wake. Call us +255 675 841177 email monicajonathan2000@gmail.com

Total Pageviews

Search

Monday, October 25, 2021

Dawa za kukufanya uweze kumiliki nguvu za asili za miujiza

1)MIMEA YA KULA Ifuatayo ni mimea inayoweza kuliwa kwa lengo la kujiambukiza na kumiliki nguvu za asili za miujiza. 1) Juice ya blue berry. 2) Ulaji wa majani ya holy basil ambayo yanapaswa kupikwa na mboga ya aina yeyote ile. 3)Chai ya mdalasini kiingreza inaitwa cinnamon tea mbayo inapaswa kutengeneza kwa kutia vijiko vitatu vya chai vya unga wa mdalasini( Cinnamon powder) ambao utatoa vikombe vitabu vya chai. Chai hii inapaswa inyweke kwa miezi sita. DAWA ZA KUJIFUKIZA. 1) Ubani ambao kwa kiingreza unaitwa frank incense ni dawa maarufu duniani inayotumika kujiambukiza na kujimilikisha nguvu za asili za miujiza kwa njia ya kujifukiza kila siku kwa miezi sita. 2)Mdalasini( cinnamon) ni dawa ya kujifukiza iliyo na uwezo mkubwa kuliko ubani. Dozi ya mdalasini ni miezi mitatu. Pia mdalasini wakati wa kujifukiza unakuwezesha kujipanga kwenye alama za nembo za miujiza zinazohusiana na meditation na alama za vitendo vya mwili ambavyo nitawafundisha hapo baadaye. Angalizo muhimu ni kwamba baadhi ya mizimu au mashetani au majini hudhulika na fukizo ya dawa hiyo. Na pia yapo mengine hupenda sana. 3)Rose Mary unatumika majani yake makavu kutiwa kwenye moto wa mkaa kama ubani kwa lengo la kujifukiza moshi wake. 3) DAWA ZA KUOGEA. 1)Mchemsho wa majani ya holy basil hutumika kwenye maji ya kuogea 2) Mchemsho wa majani ya rose Mary hutumika kwenye maji ya kuogea. 3) Mchemsho wa majani ya lavender hutumika kwenye maji ya kuogea. 4) Mchemsho wa magome ya mdalasini hutumika kwenye maji ya kuogea. Ukikosa magome basi unapaswa kuchukua unga wa mdalasini na kuufunga kwenye leso na kisha kuuchemsha kwenye maji utakayoogea. MAFUTA 1) Mafuta ya ubani hutumika kupaka mwilini. 2) Mafuta ya rose Mary hutumika kupaka mwilini. PERFUMES. 1)Perfume ya rose Mary na holy basil. naomba niwafahamishe kuwa juice ya blue Berry ni ile juisi ya matunda ya mfarafaraji. Matunda yake ni madogo madogo ambayo yanaweza kuliwa kwa kutafuna yote na kumeza. Haya matunda yanapatikana kwenye sehemu zote za joto kama vile Kanda zote za maziwa makuu, bonde la ufa na pwani