Jifunze maarifa mbalimbali ya kiroho na kimwili,tambua ulimwengu wa kiroho hasi na chanya,elimu zilizofichwa,zijue dawa na nguvu za asili za miujiza na utendaji wake. Call us +255 675 841177 email monicajonathan2000@gmail.com

Total Pageviews

Search

Monday, October 4, 2021

Jifunze kutengeneza lotion ya kuongeza uume,makalio na matiti

Kutokana na ukweli kuwa wengi wenu kuhitaji dawa za kubadirisha maumbile yenu yanayohitajika kwa wapenzi wenu nimeamua kuwafundisha namna ya kutengeneza dawa ya kuongeza ukubwa wa uume, makalio na matiti. Zifuatazo ni hatua za kutengeneza dawa. 1)Chuma majani ya Ocimum gratessimum
yatwange kisha yafanyie fractional distillation na kukuwezesha kupata mafuta yake yaitwayo augenol. 2)Chukuwa vitunguu viweli vikubwa weka kwenye maziwa ya lita moja kwa masaa kumi na mbili kisha opoa vitunguu vyako na kuvitwanga halafu vianike vikauke na kuvitwanga tena upate unga wake. 3)Tengeneza juisi ya aloe vera. 4)Changanya juisi ya aloe vera, unga wa vitunguu na mafuta ya augenol ya gratessimum ambayo kwa pamoja utapata lotion ya dawa ya pekee inayoongeza maumbile ya viungo vya binadamu kwa kuipaka kwenye kiungo husika unachohitaji kiongezeke ukubwa. Viungo vinavyoongezeka ni vile visivyo na mifupa kama vile uume, matiti na makalio. Kwa upande wa wanaume wanaopenda waongeze uume wao wanapaswa watumie lotion hiyo kwa kufanya masaji maana sheria ya kupaka lotion hiyo inabidi uume uwe umesimama na kuiwezesha lotion dawa hiyo kupenya kirahisi kwenye chembe hai za uume. Kwa upande wa wanawake wanaopenda matiti yao yasimame yakiwa makubwa wanalazimika kupaka lotion hiyo ya dawa kwenye chuchu ya titi bila kusambaa mwanzoni mwa titi. Ukikiuka kusambaza kote utalikuza titi liliokosa shepu ya kupendeza. Kwa upande wa makalio utalazimika kupaka sehemu zote za makalio unayoona yakiongezeka utapendeza. Achana na sindano za kichina zinazoharibu maumbile yako na kukuletea madhara makubwa ya kiafya. Nimetoa somo hili kwa sababu baadhi yenu hamuongezeki viongo vyenu kwa kutumia dawa ya kunywa ya kuamsha hormones zinazochochea ukuaji wa maumbile.