Jifunze maarifa mbalimbali ya kiroho na kimwili,tambua ulimwengu wa kiroho hasi na chanya,elimu zilizofichwa,zijue dawa na nguvu za asili za miujiza na utendaji wake. Call us +255 675 841177 email monicajonathan2000@gmail.com

Total Pageviews

Search

Monday, October 4, 2021

Maua haya star of jerusalem,dawa ya kukufanya upendwe na kuheshimika

Maua haya ni maarufu sana,hupandwa majumani na hata hujiotea kwa wingi maporini kwa kizungu yanaitwa Star of jerusalem kwa kiswahili sijui tunayaitaje lakini hii ni mimea inayojulikana sana,yaani ipo sana majumbani mwetu Hayo maua yake kama wewe unachukiwa na watu bila sababu wala kuwatendea mabaya yoyote yaponde vizuri yakiwa hivyohivyo mabichi changanya na mafuta yako yakujipakaa mwilini tumia kujipakaa dawa hii kila siku utaanza kupendwa,kuheshimika na kukubalika na kila mwenye kukuona vibaya na mwenye chuki na wewe wote watabadilika Wale mnaohitaji kuwaweka sawa wapenzi wenu wake zenu waume zenu haswa wasiojali familia zenu kwa msaada na uhauri unaweza kuwasiliana nasi