Jifunze maarifa mbalimbali ya kiroho na kimwili,tambua ulimwengu wa kiroho hasi na chanya,elimu zilizofichwa,zijue dawa na nguvu za asili za miujiza na utendaji wake. Call us +255 675 841177 email monicajonathan2000@gmail.com

Total Pageviews

Search

Friday, August 20, 2021

Jifunze njia ya kumvuta mpenzi kwa kutumia pete ya silva



Kazi hii hufanywa wakati wa mwezi mpevu tu. chukua pete ya silva ifunge vizuri kwenye kitambaa safi cheupe na baada ya hapo chimba shimo dogo kisha uifukie pete hiyo.
wakati unafukia unatakiwa kutuliza akili bila kufikiria mambo mengine ujitahidi kuwa unavuta taswira ya mapenzi unayoyataka toka kwa mtu huyu[upo naye pamoja,mnakumbatiana,mna enjoy huku na kule,mnapigana mabusu n.k]
huku unamwagia juu ya ulipofukia pete kiasi kidogo cha mvinyo{wine]huku unasema maneno haya
''blessed mother fair and tru'' ''this gift i offer unto you''bless this ring and make it shine'' ''bring a lover to be mine'' [ni vizuri useme kwa lugha yako)
baada ya hapo acha pete imezikwa ardhini mpaka kipindi kingine cha mwezi mpevu fukua na uvae pete hiyo,siku chache tuu mpenzi huyo ataletwa kwako akiwa na mapenzi makubwa uliyoyanuia.
Hii ni mujarrabu kabisa
Pia kuna mafuta ya Adam and eve spiritual oil kwa ajili ya kumvuta na kumtuliza