Jifunze maarifa mbalimbali ya kiroho na kimwili,tambua ulimwengu wa kiroho hasi na chanya,elimu zilizofichwa,zijue dawa na nguvu za asili za miujiza na utendaji wake. Call us +255 675 841177 email monicajonathan2000@gmail.com

Total Pageviews

Search

Tuesday, September 21, 2021

Kurudisha kitu chako kilichoibiwa

Kwanza kabisa fanya dawa hii ukiwa umehakikisha kuwa umeibiwa kweli endapo utaibiwa kitu chako na unahitaji kukipata basi fanya haya yafuatayo 1: chukua changarawe za barabarani zilizo letwa na maji/Mvua 2:chuma majani saba ya limao 3:chukua kipande kidogo cha kitambaa chekundu 4; chukua kinyonga 》Baada ya hapo viweke pamoja katika kitambaa hicho chekundu 》 vifunge vizuri kisha chukua moto vifukishe joto kali kwa muda wa robo saa huku ukinuia/ukiomba utakayo ili yamfike mwizi wako 》 ukimaliza hapo nenda kafunge juu ya mti mkubwa kwa siku 7 Hakika mtu wako atakuja kabla ya siku hizo》 Dawa hii ni mujaarabu sana haija wahi kushindwa Muhimu MTUHUMIWA WAKO AKIFIKA NENDA KAVIFUNGUE VILE VITU ULIVYO VIFUNGA KWENYE MTI ILI KUMUONDOLEA MATESO