Jifunze maarifa mbalimbali ya kiroho na kimwili,tambua ulimwengu wa kiroho hasi na chanya,elimu zilizofichwa,zijue dawa na nguvu za asili za miujiza na utendaji wake. Call us +255 675 841177 email monicajonathan2000@gmail.com

Total Pageviews

Search

Saturday, September 4, 2021

mizizi ya kifaurongo itakufanya ushinde kesi yoyote

 mizizi ya kifaurongo umekuwa unatumika kwa miaka sana na wataalam wa elimu hiz kwa ajili ya kumuepusha mtu na kesi yoyote inayomkabili aweze kushinda 



jinsi ya kutumia mizizi ya kifaurongo hili kushinda kesi inayokukabili
chukuwa mizizi mitatu ya kifaurongo na mizizi mitatu ya kishinde na uchanganye na uvumba punje3 kisha funga pamoja na mwenye kesi aweke mfukoni kombora hilo upande wa kuliani kwake

 nenda kwenye kesi yako na utapata majibu mazuri uliyoyakusudia.

ZINGATIA
unapoenda kuchuma huo kifaurongo unatakiwa uchukuwe mchele kabla ya kuchimba unarushiarushia ule mchele kwenye mti huo  huku unauzungumzisha shida yako.: