Jifunze maarifa mbalimbali ya kiroho na kimwili,tambua ulimwengu wa kiroho hasi na chanya,elimu zilizofichwa,zijue dawa na nguvu za asili za miujiza na utendaji wake. Call us +255 675 841177 email monicajonathan2000@gmail.com

Total Pageviews

Search

Tuesday, July 9, 2024

Kizizi Cha mamlaka


Ni Mzizi ambayo una kazi nyingi sana| Mzizi huu unaweza kuutumia ktk masuala mbali mbali ya kikazi na ki biashara Mf; ukiwa nacho mfukoni au kwenye begi lako unaweza kufanya jambo lolote kwa amri au ombi likakubaliwa Mf;

• Kuamrisha Jambo Lote linafanywa kwa haraka sana

• Kuomba kazi unakubaliwa

• Kuongea au kutaka kitu chochote kwa mtu unapata mf; Unamdai Mtu ukienda ukiwa na hicho ki_mzizi anakulipa huku akiwa anaogopa

• kama unataka umkope mtu pesa kiasi chochote kile kama kipo ndani ya uwezo wake anakupa

• kuomba kazi, Ajira, Mshahara nk.

Ni ki_mzizi ambacho unakua nacho mfukoni au kwenye begi lako unakua unatembea nacho

Kitu chochote unachokitaka unakipata kama kipo ndani ya uwezo wa mtu unaemwambia.