Jifunze maarifa mbalimbali ya kiroho na kimwili,tambua ulimwengu wa kiroho hasi na chanya,elimu zilizofichwa,zijue dawa na nguvu za asili za miujiza na utendaji wake. Call us +255 675 841177 email monicajonathan2000@gmail.com

Total Pageviews

Search

Friday, September 17, 2021

Asili ya Pete za bahati

pete ya bahati
nikimaanisha pete ya kuvuta bahati ni Pete ya maajabu. Tunasoma na kusikia utawala wa nabiu Sulayman bin Dawdi alikua akitawala Dunia Akiwatawala Binadamu na Majini. Alikua akiuamrisha upepo umpeleke popote atakapo. Alikua akiongea na wanyama. Alikua akisikia sauti za wadudu mbali mbali. Majini alikua akiwatumikisha katika kazi mbali mbali,ikiwemo kuzamia ndani ya maji au bahari kuleta vitu kadha wa kadha. Ni mfalme na Mtume. Mfalme huyu alikuwa akivaa pete ambayo ilimpa umiliki na nguvu kubwa. Nimeyataja hayo kidogo ili tuone pete na kito zilianza kutumika tangu zamani. Wataalamu wanaangalia pete na kito kwa kulinganisha madini yaliomo humo na maisha ya kila siku ya mwanadamu. Kito kina uwezo mkubwa wa kuzuia mawimbi yatokanayo na mwako wa mionzi ya jua. Jua linazo aina 7 za rangi linapowaka. Kila rangi inamuathiri mtu kutegemea na ilivyo nyota yake. Kuvaa pete stahiki na kito inakua ni sababu ya kuzuia madhara ambayo ungeyapata ...ikiwa ni kuvurugwa au kuharibikiwa mipango yako ya maisha ya kila siku. Usivae pete na kito ikiwa hujui maana ya kito hicho . Watu wengi wanavaa pete na kito kwa kutarajia mafanikio katika maisha ya kila siku lakini haiwasaidii chochote. Sababu kubwa ni kutotambua utaratibu mzuri wa kuvaa pete kwa utaratibu wa mzunguuko wa sayari hii ya jua ilivyo. UKIHITAJI PETE ZA KIROHO ZA AINA ZOTE WASILIANA NASI