Jifunze maarifa mbalimbali ya kiroho na kimwili,tambua ulimwengu wa kiroho hasi na chanya,elimu zilizofichwa,zijue dawa na nguvu za asili za miujiza na utendaji wake. Call us +255 675 841177 email monicajonathan2000@gmail.com

Total Pageviews

Search

Monday, September 20, 2021

Tarasimu ya kumfanya mpenzi au mtu yeyote akupende na akutii kwa kila jambo

hakika hapa ni penyewe, kama kuna mtu unataka akupende sana au akutimizie haja yako au mke au mume akupende kupita kiasi Ama unataka kupendwa na kila mtu iwe kazini,nyumbani,ama sehemu yoyote mapenzi ya kupitiliza basi chora tarasimu hii kwa kutumia zafarani nyekundu na marashi ya bint sudani,(vinapatikana duka lolote la dawa za kiarabu)kisha isomee jina hilo mara 3000, na usom"Barahatii" mara tatu kisha ifunge kama azima na ukaitundike katika mti mkubwa kwa manuiz unayokusudia. vizuri zaidi ni kuchora mbili moja juu ya mti na ya pili kaizike kwenye maji, hakika utaona ajabu kabisa. Na pia ukitaka kupendwa na watu fanya kama nilivyoelekeza kwenye jina la mhusika unaweka *wote kwa pamoja* na kisha uwenayo kama azima kila unapotembea. Kumbuka wakati wa kufunga au kuzika ama kuiweka mfukoni ufanye manuizi unayotaka au kwenye wallet unuie manuzi unayoyahitaj. Hakika utaona maajabu.