Jifunze maarifa mbalimbali ya kiroho na kimwili,tambua ulimwengu wa kiroho hasi na chanya,elimu zilizofichwa,zijue dawa na nguvu za asili za miujiza na utendaji wake. Call us +255 675 841177 email monicajonathan2000@gmail.com

Total Pageviews

Search

Monday, September 20, 2021

Dawa ya kusafisha mwili/ kutoa nuksi na kukufanya upendwe na kila mtu hata anayekuchukia

Chukua mjafari wa unga Hina ya unga Magadi ya kupikia mlenda Machicha ya Nazi yasiyokamuliwa(kuna Nazi kisha changanya na Dawa hizo) Kisha kamulia ndimu mpaka uone Dawa yako imekuwa uji uji au unaweza usitumie ndimu chukua marashi rose korogea mpaka uone Dawa imekuwa ujiuji Dawa hii inatumika usku tu Chukua kitambaa cheupe Kitandike chini ilihali upo uchi Chukua Dawa yako jisugue na ile Dawa kama unajiscrub jisugue mwili mzima uchafu ule uangukie pale kwenye kitambaa Ukimaliza uchafu ukusanye vizuri kisha chukua unga wa sembe changanya na ule uchafu kawatupie kuku wale(lengo LA kuku kula ni I'll usije kuokotwa maana ukiokotwa uchafu huo unaweza kutumika vibaya na wewe ukaugua sana au kufa kabisa Utafanya zoezi hili kwa muda wa wiki nzima utaona ajabu utakumbukwa na walokusahau utathaminiwa utaonekana utavutia na utapendwa(kama unajini mchafu itakuwa kinyume chake) Mjafari unapatikana maduka ya Dawa za asili ni mchungu una rangi kama njano iliyokolea kuelekea kahawia Nazi inapatikana magengeni au sokoni Unga sembe madukani Kitambaa kwa funding cherehani Kuku wapo mitaani Magadi madukani Imebidi niandike hivyo maana kuna mtu ataniuliza nazi ndo nini? Inapatikana wapi? Kuku wasipokula je? Kuku wasipokula adui yako ataviokota na kwenda kuvifanyia kazi zingine.