Jifunze maarifa mbalimbali ya kiroho na kimwili,tambua ulimwengu wa kiroho hasi na chanya,elimu zilizofichwa,zijue dawa na nguvu za asili za miujiza na utendaji wake. Call us +255 675 841177 email monicajonathan2000@gmail.com

Total Pageviews

Search

Monday, September 20, 2021

ujue utajiri wa kishirikina

Nina posema utajiri wa kishirikina nadhani sio jina geni masikioni mwa wengi,kwani wengi tushapata kusikia story mbalimbali zilizogaa mitaani kuhusu utajiri wa namna hii. Watu wengi hupenda kujua kuhusu mambo haya,leo nataka nizungumzie baadhi tu ya aina za utajiri huo na jinsi unavyofanywa sikushauri ufanye bali naandika tu ninachokijua kuhusu haya mambo
UTAJIRI WA KUJITOA KAFARA MWENYEWE Katika njia hii ya kuutafuta utajiri wa kishirikina ni lazima mhusika akubali kujitoa kafara yeye mwenyewe,na katika utoaji huo wa kafara kuna njia nyingi ila tutaangalia njia ya KUKU katika njia hii hapa baada ya mhusika kuelezwa na akakubali kuwa atapata utajiri wa kutosha na kafara ni yeye mwenyewe,analetwa kuku ambaye amewekwa kwa muda mrefu bila kupatiwa chakula na mhusika anakabidhiwa kiasi kingi cha punje za mchele na atatakiwa ammwagie kuku huyo huku wakiwa wanahesabu punje ambazo atakula kuku huyo. Hapa kinachoendelea ni kuwa idadi ya punje za mchele atakazokula kuku huyo ndyo idadi ya miaka ambayo utaishi baada ya kupewa utajiri na ukifika huo muda Wanakuchukua unafariki duniani na unaingia kutumikia mkataba kwenye ulimwengu wa giza.wakati mwingine hutokea kuku akala punje nyingi sana hapo ni lazima utafarijika na wakati mwingine kuku huweza kuichukua punje moja na akaikata katikati na akala kipande tu,hii inamaanisha una miezi 6 tyu ya kuishi na utajiri huo. UTAJIRI WA KUFUGA NYOKA MKUBWA[JINI] Katika njia hii baada ya kuafikiana na mtaalam atakukabidhi kamba kubwa,kamba hiyo unatakiwa ukaiweke kwako kwenye chumba cha peke yako ambacho hakiingiwi na mtu yeyote zaidi ya wewe tu.kamba hii itageuka nyoka mkubwa na nyoka huyu chakula chake ni damu za watu,kwa kuwa utakuwa na vyombo vya usafiri vya kutosha chakula chake kitatokea hapa,ikifika wakati wa kumpatia damu unasababisha ajali na damu inanywewa na kiumbe huyo huku anaendelea kukuneemesha kwa kukupatia kipato zaidi na zaidi hata usipofanya kazi yyte ukiingia kwenye chumba hicho unazoa pesa kama unazoa taka.ila ukikosea masharti utajuta na kusaga meno. UTAJIRI WA KUISHI NA MWANAMKE WA KIJINI Huu pia ni sehemu ya utajiri wa kishirikina Utapatiwa mwanamke jini ambaye utaishi nae kama mke na mume{bila wengine kumuona}atakupa penzi kama anavyokupa binadam mwenzako na atakuridhisha kwa kukata kiu yako ya kimahaba kabisa.lakini ana masharti a]usioe au kuwa na mahusiano na mwanamke/mwanaume mwingine yeyote b]usivute bangi,sigara au matumizi ya vilevi c]uwe msafi muda wote na masharti mengine ni siri yenu wawili. UTAJIRI WA KUMTOA KAFARA KIPENZI CHAKO{Wazazi,ndugu] a]katika njia hii ni sharti ukubali kumtoa kafara mtu unayempenda zaidi katika familia,jinsi ya kumuua sio kazi yako,kazi yako ni kukubali tu kisha wenyewe watawala wa ulimwengu wa giza watajua jinsi ya kummaliza na kuonekana kama amekufa kifo cha kawaida tu. baada ya hapo mambo yako yatabadilika na huyu ndugu yako utakuwa unaonana nae na ndye atakuwa anakupa pesa unazohitaji. b]pia katika kumtoa kafara ndugu yako mtaalam atakayekuongoza anaweza akakupatia chupa mbili nzuri,akakuambia uchague moja unayoipenda kuliko nyingine,ile utakayoichagua ujue umemchagua mtu unayempenda baada ya hapo utaambiwa uivunje kwenye jiwe na nyumbani atafariki.na hutotakiwa ulie MAMBO HAYA HUFANYWA BURE NA HAKUNA GHARAMA YOYOTE ILA UTAGHARAMIA VIFAA VITAKAVYOHITAJIKA AMBAVYO NI 1.Mbuzi 2.vitambaa vya rangi tatu tofauti 3.mishumaa