Jifunze maarifa mbalimbali ya kiroho na kimwili,tambua ulimwengu wa kiroho hasi na chanya,elimu zilizofichwa,zijue dawa na nguvu za asili za miujiza na utendaji wake. Call us +255 675 841177 email monicajonathan2000@gmail.com

Total Pageviews

Search

Monday, September 6, 2021

kumfanya mtu achukiwe na boss hadi afukuzwe kazi

 


Chukua nazi yenye macho matatu,na toboa macho hayo mwaga maji yote yaliyopo ndani yake
andika jina la mtu unayetaka kumfukuzisha kazi mara 3 kwenye karatasi,andika kama vile inavyoandikwa misalaba ya makaburini mfano.


Alex idd
amezaliwa (andika tarehe ya hiyo siku unayofanya jambo hili)
amekufa (andika tarehe ya siku ya 15 kutoka siku unayofanya hivi)


yaweke majina hayo chini uweke nazi juu yake

chukua nyongo ya ndege au mnyama yeyote na siki utie ndani ya nazi kupitia macho uliyotoboa
mwagamwaga siki kuzunguka nazi na majina washa mshumaa mweusi weka juu ya nazi



acha hapo na uwe unawasha mshumaa kila siku ukiisha usiutupe bali washa mwingine


itaanza migogoro ya hapa na pale siku ya 15 atafukuzwa kazi.