Jifunze maarifa mbalimbali ya kiroho na kimwili,tambua ulimwengu wa kiroho hasi na chanya,elimu zilizofichwa,zijue dawa na nguvu za asili za miujiza na utendaji wake. Call us +255 675 841177 email monicajonathan2000@gmail.com

Total Pageviews

Search

Monday, September 6, 2021

Kupendwa na kila mtu iwe kazini,mtaani ama popote

 


andika maandishi haya kama yalivo ktk karatasi nyeupe isio na mistari
kwa kutumia zafarani nyekundu ichanganywe na marashi rose na mchanganyo huu wa ndio utakao kua wino wa kuandikia dawa hii


na kijiti cha kuandikia dawa hii kiwe kijiti cha mti unaoitwa mrihani yaani { kirihani} na kijiti hichi ukikate siku ya alhamis kuanzia saa kumi nambili na nusu mpaka litakapochomoza jua

na wakati unakata kijiti hicho uwe unakata kwa kukusudia yaani unasema kimoyoyo
unakata kijiti hicho kwaajili gani mfano unasema hivi {nimekuja kuchukua ili ukanisaidie ktk kutengeneza dawa yangu ya kupendwa na fulani na fula} na wakati unafanya hayo unatakiwa uwe umepiga hodi pale mara tatu na kuumwagia ule mti marashi ndipo uanze shughuli yako
baada ya kupiga hodi na kuumwagia marashi kidogo ule mti ndipo useme sasa shida yako kuwa umekwenda kuchukua mti huo ili ukakusaidie kuandikia dawa ya mapenzi kwa watu unao wa kusudia au kama unataka kupendwa na kila mtu sema {kwaajili ya kupendwa na jamii ya watu wotu wote }

baada ya hapo kata kijiti kidogo ambacho unahisi kitatosheleza kwaajili ya kuandikia dawa yako
nadawa hii inatakiwa kuandikwa pia na kutengenezwa siku ya alhamis kuanzia saa 12:30 mpaka 1:45 ndyo mwisho na niv izuri shughuli hii ukaiandaa alhamis ya mwanzo wa mwezi wa kiarabu yaani kipindi cha mbalamwezi na sio kiza

Baaa ya kumaliza kuandika dawa hiyo na kuitengeneza kila kitu  kwa muda huohuo  chukua chetezo cha moto uanze kuifukizia ile karatasi ulioiandika yale maandishi huku ukiwa unasema unavyotaka kwa mujibu wa haja yako wakati unaifukizia ule moshi unaotokana na mafusho husika ambayo ni lazima yawe mafusho ya udi wa kawaida tu

baada ya kumaliza zoezi lote zima tayari ile dawa itakua tayari kwa kutumika na matumizi yake uwe unatembea nayo mwilini yaani waweza kuiweka ktk mfuko wa suruali au wa shati au ktk cheni ya lakti au sehem yoyote ambayo unahisi itakua imestirika
Ghafla utaanza kuona mabadiliko makubwa katika ulilolikusudia.