Jifunze maarifa mbalimbali ya kiroho na kimwili,tambua ulimwengu wa kiroho hasi na chanya,elimu zilizofichwa,zijue dawa na nguvu za asili za miujiza na utendaji wake. Call us +255 675 841177 email monicajonathan2000@gmail.com

Total Pageviews

Search

Friday, September 24, 2021

Majini wawili wanaotumika sana kuvuta wateja kwenye mahoteli ama maduka makubwa

Hawa ni majini wanaoishi baharini na ni majini wenye ushawishi na nguvu kubwa ya kuwavuta wateja kwa wingi katika biashara za dukani hotelini nk.
majini hawa hupatikana kiurahisi sana na hawana mashariti magumu pindi unapokuwa nao jinsi ya kuwapata majini hawa *tafuta kitambaa kile kilichobaki katika ukataji wa sanda msibani hata kama ni kidogo basi utakimwagia hicho kitambaa mafuta ya bint suudan na alhuud na miski na gift of zanzibar Baada ya hapo utaenda nacho mpaka njia panda,njia ambayo watu wanapita hapo utachimba shimo Kisha utakizika kile kitambaa na washa mshumaa na udi sema makusudio yako Viache hapo kwa siku sita na ikifika siku ya saba kachukue kile kitambaa na utafute chupa ya kioo au gilasi uende navyo mpaka Baharini na ukifika unaloweka kile kitambaa kwenye maji na ukiweke ndani ya chupa au gilasi ambayo umechota na kuweka maji hayo ya bahari Iwe siku ya alhamis Kisha soma hayo maneno (kama huyawezi unaweza kutafuta mtu anayejua kiarabu akufundishe ama nipigie) (اتوقل ايمعشر الجن اقسمت عليكم يادهنش وانت يامهقي الخضرو في هذاالمكن واقضوا حجات التهيج الناس كما قل الله تعال واذان فالناس بلحخ ياتوك رجولا وعلا كل ضمل ياتين من كل فج عميق،وان كان اخضرو فيارني هي هي هي هي هي برك الله قيكم واليكم atakuja jini katika umbo la mtoto utaongea naye lugha yako na atakwambia nini cha kufanya.