Jifunze maarifa mbalimbali ya kiroho na kimwili,tambua ulimwengu wa kiroho hasi na chanya,elimu zilizofichwa,zijue dawa na nguvu za asili za miujiza na utendaji wake. Call us +255 675 841177 email monicajonathan2000@gmail.com

Total Pageviews

Search

Friday, September 24, 2021

njia rahisi ya kuwaona wachawi

Chukua karatasi nyeupe kisha andika maneno haya mara mia moja kwa kiarabu(kama hujui mtafute anayejua akuandikie): KAYDAHULA
Kisha ukishamaliza andika tena maneno haya kwenye hiyo hiyo karatasi:TAWAKKAL YA KH UDDAM LHADHIHI LWAFQU SHARIFFU BITAKHDHWARNIY KULLA SAAHIRI BIHAQQI LJIBRAIL WAMIKAYL WAISRAFIL WAIZRAIL HAYYA HAYYA ALWAHA ALWAHA AL-AJLA AL-AJLA ASAAT ASSAT BAARAKALLAH FIYKUM WAALAIKUM Kisha weka kwenye maji alafu tafuta mti mmoja unaitwa mvinje weka pamoja na hiyo karatasi weka asubuhi mpaka usiku ikifika usiku pakaa usoni kwa kupandisha juu kisha yaliobaki mwaga chumba unachokaa yote chumba kizima kisha lala basi utawaona wachawi wote wanaokusumbua na utauona hadi uchawi wanaoutumia