Jifunze maarifa mbalimbali ya kiroho na kimwili,tambua ulimwengu wa kiroho hasi na chanya,elimu zilizofichwa,zijue dawa na nguvu za asili za miujiza na utendaji wake. Call us +255 675 841177 email monicajonathan2000@gmail.com

Total Pageviews

Search

Sunday, October 3, 2021

dawa ya kuondoa matatizo ya kunuka kikwapa kupita kawaida

Kikwapa ni tatizo la kutoa harufu mbaya sehemu ya kwapani katika mwili wa binadamu. Tatizo hili husababishwa na bakteria wanaovutiwa na unyevunyevu chini ya kwapa unaosababishwa na jasho au kuwa na nywele nyingi haswa mnapokuwa kwenye mikusanyiko mikubwa ya watu wengi
Tatizo la Kikwapa ni kero kwa sababu husababisha mtu kutoa harufu mbaya inayokuwa kero kwake na kwa mtu mwingine aliyeko jirani yake. Basi kama na wewe ni mmojawapo kati ya watu wanaosumbuliwa na matatizo haya ya kunuka kikwapa tumia dawa hizi hali hiyo itakuondokea ~habbat sawda ~habbat sufaa ~sandali hakikisha dawa zote ziwe za unga,unaweza pia kuzisaga ili ziwe unga pima vijiko viwili vikubwa kwa kila dawa changanya pamoja na ukamulie ndimu 3 na utie mchanganyiko huo kwenye mafuta ya zaituni kiasi cha ml250 utatumia dawa hyo kwa kujisugulia kwapani kwa kutumia pamba asubuhi na jioni kila unapotoka kuoga kwa muda wa wiki 2