Hapo zamani endapo kama kwenye kijiji kuna mtu mkorofi mwenye kuwatesa watu na kuwanyanyasa kwa namna moja ama nyingine,wazee wa kimila waliweza kukutana na kujadili jinsi gani ya kumuondoa mtu huyo kwenye kijiji hicho kiustaarabu kabisa bila kuzozana au kugombana nae.
~Wazee hawa walitumia njia nyingi ikiwemo njia ya kutumia wanyama,wadudu,tarasimu,mizimu au hata miti yenye nguvu kubwa za kiroho na kufanikisha kazi hiyo kiurahisi kabisa.
~Baada ya kufanya wanavyofanya kitakachotokea kwa yule ni mtu ni moyo wake kubadilika ghafla na kujikuta anachukia kabisa kuendelea kuishi kwenye nyumba au kijiji hicho hatimaye anatoka na kutokomea mbali sana kusikojulikana na kwenda kuanza maisha huko
~hapa chini nitaelezea njia mojawapo mujarrab ambayo nilifundishwa na jini fulani ,na hakika matokeo yake ni ya haraka sana kuliko njia zote ingawa njia hii inaweza kuwa na ugumu kwenye kumfikia mlengwa na kumuwekea kwenye chakula lakini penye nia hapakosi njia.
JINSI YA KUMUHAMISHA MTU KWENYE NYUMBA AU MJI NA ATOKOMEE MBALI
~Kuna wadudu fulani wanaishi pembezoni mwa ufukwe wa bahari wanachimba vishimovishimo,kama utamsogelea umkamate anakimbia mbio nyingi na kuingia kwenye vishimo vyao,ukienda humo pembezoni mwa bahari wakati maji yametoka utawakuta wengi sana(jina nimewasahau nikikumbuka ntawaeleza) jitahidi UMKAMATE MMOJA AKIWA MZIMA
~kisha chukua majani ya kifaurongo
rudi nayo nyumbani na upike supu ya mdudu huyo ukichanganya na majani hayo ya kifaurongo iwe usiku wakati mji umetulia na pilika pilika za watu.
wakati supu inachemka hakikisha unanuia kumuhamisha mji au nyumba mtu huyo mkorofi,dhulma n.k
~kisha supu hiyo hakikisha unatia kwenye chakula cha mtu unayemtaka japo kijiko kidogo kimoja
akishakula moyo wake hautakuwa na amani ya kubaki hapo bali ataamua kutokomea mbali kabisa ya mji huo ndio amani ya nafi yake hurejea na kuanza maisha mapya
pia zipo njia nyingine kama za kutuma majini na nyinginezo
