Jifunze maarifa mbalimbali ya kiroho na kimwili,tambua ulimwengu wa kiroho hasi na chanya,elimu zilizofichwa,zijue dawa na nguvu za asili za miujiza na utendaji wake. Call us +255 675 841177 email monicajonathan2000@gmail.com

Total Pageviews

Search

Sunday, October 3, 2021

Kwa mwanamke unayetafuta mume hii itakusaidia

hii ni zawadi kwa wanawake wasiiolewa tu na wana kiu sana ya kuolewa. usifanye kama una mume tayari kwani utapata usumbufu kutoka kwa wanaume watakaotaka kukuoa tena! MWANAMKE ambae hajaolewa na yeye anataka kuolewa basi aandike suratul fajir kwa kutumia zafarani,aandike sura yote hiyo kisha afute na achanganye na hina na ajipake mikononi tuu. Kisha pakaa mafuta halisi ya mtini utosini,masikionii na katika tundu za pua kwa siku saba kutwa x2 huku ukijifukiza kwa mafuta hayo kwa siku7 kama una nia thabiti ya kuolewa na sio kufanya uhuni basi utaolewa tu kwani wanaume wenye nia hiyo watajitokeza na utaangalia chaguo sahihi kwako. zingatia ni kwa ajili ya mwenye nia ya kuolewa na si vinginevyo,ukifanya bila kuwa na vigezo husika utapata usumbufu