Jifunze maarifa mbalimbali ya kiroho na kimwili,tambua ulimwengu wa kiroho hasi na chanya,elimu zilizofichwa,zijue dawa na nguvu za asili za miujiza na utendaji wake. Call us +255 675 841177 email monicajonathan2000@gmail.com

Total Pageviews

Search

Sunday, October 3, 2021

Kufuta chale za wanga mwilini mwako

Leo nataka tuzungumzie chale za wachawi,si ulishawahi kuona,kujikuta ama hata kusikia mtu ameamka amejikuta amechanjwachanjwa na kiwembe?ndyo hizo
CHALE ZA WANGA. Wanga hushirikiana na jini cheketu katika kukupiga chale na kukujaza nuksi mwilini,pia kila utakapoenda wawe wanakuona mtu wao. aina za chale za wanga 1.chale za wanga wanaotaka kukufanya msukule 2.chale za kukukaribisha kwenye vikao vyao vya kichawi 3.chale za kukujulisha kwa wachawi kuwa wazazi/wazee wako wewe pia ni wachawi 4.chale za kuiba kivuli chako kitumike kwenye uchawi uonekane wewe mchawi 5.chale za mchawi mwenyewe zinamjulisha kwa wachawi wenzie kuwa ni mwenzao wachawi wakikupiga chale zao kila chale ina maana yake waliyokusudia lakini kiujumla lazima (1)Mambo yako kuwa magumu (2)kujikuta umekatwa katwa mwilini wakati jana ulipoenda kulala ulikuwa safi (2)kila ikifikaa saa 7mpaka 8usiku lazima ushituke (3)utasingiziwa unawaroga watu mtaani kwenu (4)utachukiwa na kuambiwa unaringa wakati kiuhalisia haupo hivyo ukiona hivyo jua kwamba wanga wamekupiga chale ambazo huwa kama muhuri popote uendapo utajulikana kwa chale hizo NJIA ZA KUFUTA CHALE ZA WANGA ( 1 ) Chukua kijiti cha wahenga (2)Chukua fagio lilILotupwa (3)Chukua sembe umeme ( 4) sembe mangube (5)usila wa mti ulokufa wenyewe (6)usila wa mti ulopigwa na radi (7)sembe Makata Mfute aliyepigwa chale kuanzia paji la uso hapo wanga hawatomuweza kumuona kwenye chombo chao KUJIKINGA NA JINI HUYU WA KICHAWI Soma sura hizi za kuran wakati unataka kulala hali ya kuwa pumzi yako inayotoka mdomoni inagonga kwenye viganja vyako vya mikono ulivyovikutanisha pamoja Soma surat ikhlaasw x 7 soma Surat nnaas x7 soma surat lfalaq x7 soma surat fatha na usome ayaturkursiyyux 7 kisha soma dua ya kulala na ujifute mwili wako wote kwa viganja hivyo kasoro sehemu za siri na chini ya nyayo za miguu. na kwa mtu wa dini nyingine utaomba sala ya kulala kama ilivyo katika imani yako