Jifunze maarifa mbalimbali ya kiroho na kimwili,tambua ulimwengu wa kiroho hasi na chanya,elimu zilizofichwa,zijue dawa na nguvu za asili za miujiza na utendaji wake. Call us +255 675 841177 email monicajonathan2000@gmail.com

Total Pageviews

Search

Sunday, October 3, 2021

pete yenye kito cha jiwe la jade na maajabu yake

Mwenye Kuvaa Kwenye Pete Na Akaingia Kwenye Uwanja Wa Vita Mtu Huyo Hatodhurika Hata Na Ncha Ya Panga Yani Mwenye Kuvaa Hatoweza Kukatwa Na Upanga Wala Risasi. Pia Mwenye Kuivaa Pete Yenye Kito Cha ( Jade ) Mtu Huyo Akaingia Kwenye Pango Lenye Majini Majini wowote Watamuogopa Na watakimbia ovyo Pia Mwenye Kutaka Aone Ufalme Wa Majini Basi Akiweke Kito Hiki Chini Ya Mto Ataona Ufalme Wote Wa Majini na atona siri nyingi za ulimwengu Kama Ukiivaa Pete Yenye kito cha Jade Mtu Huyo Atakuwa Na Mahaba Na Kila Mtu hakuna atakayemchukia,akiingia sehemu hata kama kuna wakubwa watu wote hunyamzishwa,atakuwa na mamlaka n.k pia pete yenye kito cha jade husaidia kudumisha mahusiano na kukufanya uwe bahati sana kwa kila jambo unaloliendea