Jifunze maarifa mbalimbali ya kiroho na kimwili,tambua ulimwengu wa kiroho hasi na chanya,elimu zilizofichwa,zijue dawa na nguvu za asili za miujiza na utendaji wake. Call us +255 675 841177 email monicajonathan2000@gmail.com

Total Pageviews

Search

Tuesday, October 12, 2021

Ujue ugonjwa wa bawasiri (ndani na nje)

BAWASIRI {HEMORRHOIDS/PILE ➖ Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa na kuoelekea kuota kinyama sehemu ya haja kubwa CHANZO CHA BAWASIRI ➖ Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano; madereva ➖ Tatizo sugu la kuharisha ➖ Ujauzito ➖ Uzito wa mwili kupita kiasi ➖ Kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa (kulawitiwa) ➖ Kupata haja kubwa ngumu ➖ Kua na mgandamizo mkubwa tumboni ➖ Kunywa pombe ➖ Kula sana nyama nyekundu ➖ Vidonda vya tumbo ➖ Ngiri(Chango/Hernia ➖ Kula sana pilipili ➖ Kunyanyua vitu vizito DALILI ZA BAWASIRI ➖ Kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa ➖ Kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa ➖ Kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa ➖ Kupata kinyesi chenye damu ➖ Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa ➖ kutokwa na uteute sehemu ya haja kubwa ➖ Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa na kusababisha mishipa ya sehemu ya haja kubwa kukwanguliwa ➖ Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya utumbo (Cancer) kwasababu kile kinyama kinakaa kama kidonda ➖ Uume kusinya (unapoteza urefu na ukakamavu) MADHARA YA BAWASIRI ➖ Upungufu wa damu mwilini ➖Kutokwa na kinyesi bila kujitambua ➖ Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa ➖ Kupungukia nguvu za kiume (kwa wanaume) ➖ Kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu ➖ Kupata tatizo la kisaikolojia ➖ Kutopata ujauzito ➖ Mimba kuharibika