Jifunze maarifa mbalimbali ya kiroho na kimwili,tambua ulimwengu wa kiroho hasi na chanya,elimu zilizofichwa,zijue dawa na nguvu za asili za miujiza na utendaji wake. Call us +255 675 841177 email monicajonathan2000@gmail.com

Total Pageviews

Search

Tuesday, October 12, 2021

Uvimbe kwenye kizazi na tiba yake{fibroids}

Kumekua na ongezeko kubwa sana la huu ugonjwa wa Fibroids Au uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la Uzazi, huu uvimbe unaweza kuwa ndani ya kizazi,ndani ya nyama za kizazi au nje ya kizazi na Wengi Wana Tatizo Hili Lakini Hawajui, Fibroids sio kansa ni uvimbe wa kawaida tu ambao unakua kwa kutegemea kichocheo cha estrogen hormone ndio maana kuanzia kubalehe mpaka kukoma kwa hedhi ndio wako hatarini DALILI ZA UVIMBE(FIBROIDS) ➡️Kupata Maumivu Makali Sana Ya Nyonga,Kiuno Na Chini Ya Kitovu(Inaweza Kuwa Upande Mmoja Au Pande Zote) ➡️Kutokwa Na Damu Nyingi Sana Isiyokauka Katika Hedhi,Hii Inaweza Kusababisha Hali Ya Kupungukiwa Damu(Anaemia) ➡️Kuhisi Kuna Kitu Kigumu Kwa Ndani Chini Ya Kitovu Hata Ukigusa Kwa nje,Inaweza Kusababisha Kuhisi Kukojoa kila saa Au Maumivu wakati wa Kukojoa Na Haja Kubwa ➡️Kutokwa na Maji Maji au uchafu wenye harufu mbaya au ambao hauna harufu mwingi na mweupe ➡️Kupata Maumivu Makali Ukikaribia Siku Zako Za Hedhi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe ➡️Kupata Hedhi nyepesi Sana Au Hedhi Nzito Sana Yenye Mabonge Ambayo Huwa na rangi Ya brown Au Nyeusi ➡️Kukosa Hamu Ya Tendo La Ndoa Na Ukifanya Unapata Maumivu Makali Sana Hata Baada Ya Kumaliza ➡️Hedhi zisizokuwa na mpangilio Maalum,Kila Mwezi Tarehe Zinabadilika Sana Wakati Mwingine Unapata Hedhi Mbili Ndani Ya mwezi Mmoja Au Inapita Miezi kadhaa bila Kuona Hedhi Kila Mwanamke Yupo Katika Hatari Ya Kupata uvimbe,Uvimbe Usipotibiwa Huwa Unaongezeka Kila Siku Na Madhara Yake Ni Makubwa sana Kama Vile Kuzuia Kupata Ujauzito,hata kifo TIBA YA UHAKIKA Kwa Hospitali Ni Kufanyiwa Upasuaji Kwa Ajili Ya Kuondoa Uvimbe Huo(hysterectomy) lakini Uvimbe Mwingine Unaweza Kujitokeza,pia ni gharama Na inaweza kukuacha na Maumivu makali.... tumia dawa za tibalishe Ambazo Ni bidhaa Zenye Ubora Zilizowasaida Wengi Sana Ukitumia hizi huna Haja Ya Upasuaji, Tatizo halitojirudia tena,Ni gharama Nafuu Zaidi Ya operation na Itaondoa Dalili Nyingine na Kusaidia Mfumo Mzima Wa Uzazi Kwa Pamoja kwa tiba na ushauri wasiliana nasi