Jifunze maarifa mbalimbali ya kiroho na kimwili,tambua ulimwengu wa kiroho hasi na chanya,elimu zilizofichwa,zijue dawa na nguvu za asili za miujiza na utendaji wake. Call us +255 675 841177 email monicajonathan2000@gmail.com

Total Pageviews

Search

Wednesday, January 24, 2024

madhara ya kutoa mimba( kiroho)

utoaji mimba ni jambo zito kuliko vile watu wanavyolichukulia,kwani unavyotoa mimba baadhi ya roho ambazo zilizotolewa ni mababu kutoa mimba kuna madhara makubwa kiroho na kimwili lakini watu wanapuuza wakidhani hakuna kitakachotokea, mengi yatatokea. ikiwa wewe ni mwanamume au mwanamke ambaye umetoa mimba kwa kujua au kutokujua, kumbuka tu kwamba mambo Yako mengi hayatafanikiwa au kufanya kazi vizuri kwako hadi ufanye utakaso wa utoaji mimba. ikiwa sivyo, utakabiliwa na shida nyingi, bado unaweza kuolewa na kuzaa watoto baada ya kutoa mimba lakini karma bado itakuja kwa ajili yako. Zinaweza kufadhaisha maisha yako kwa njia tofauti kama vile: kurudi nyuma kimaendeleo mashambulizi ya kiroho Kutokuwa na ndoa yenye amani usiku usio na utulivu na akili nk Magonjwa kila siku Mikosi na majanga kushindwa kutoolewa mapema utasa kukata tamaa nk Kukataliwa kika unapoomba kazi mtu hawezi kuikimbia hata katika ulimwengu ujao mpaka utakaso wa utoaji mimba ufanyike kwa haki. usifanye kazi yoyote ya kiroho bila kufanya utakaso kama uliwahi kutoa mimba unakaribishwa kwa ushauri na maulizo zaid 0787 675021