Unaitwa mlipu kiboko ya mapenzi,huu hutumika kumfanya mtu moyo wake uwe unakuwaza wewe tu,kila anachofanya awe anakukumbuka wewe tu,asitamani tena kuwa na mtu mwingine yeyote katika mapenzi zaidi ya wewe tu.
chukua mizizi ya mlipu ya kutosha
chumvi ya mawe kiganja kimoja
pilipili kichaa
muharaka
mizizi saba ya mtulatula
nyembe Saba
sindano Saba
uzi wa nguo ya mpenzi wako ambayo haijafuliwa au nguo yake ya ndani
maandalizi
changanya Kwa pamoja vitu vyako vyote weka kwenye chungu
washa jiko lako kisha anza kukaanga vitu hivy huku unafanya manuizi yako
usisahau kuweka ubani dhuhura humo.
ukishamaliza kukaanga epua chungu chako na uende njia panda
vunja chungu hicho katika njia panda
hapo umemmaliza kabisa.
kwa tiba na ushauri karibu sana
